Posts

DC aagiza mbunge mwingine wa Chadema akamatwe

Image
MBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Tunduma, mkoani Mbeya, Frank Mwakajoka, amewekwa ndani muda huu kwa amri ya mkuu wa wilaya. Mwakajoka ameswekwa rumande baada ya kuwapiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, madiwani watatu wa chama hicho waliojiengua na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Wanadaiwa kupigwa picha na Mwakajoka, ni Ayub Mlimba ambaye alikuwa diwani wa kata ya (Mwaka Kati), Simon Mbukwa (Kaloleni) na Amos Nzunda (Mpemba). Taarifa zinasema, tukio hilo lilitokea wakati madiwani hao walipoitwa na serikali kuhudhuria kikao cha bajeti cha halmashauri ya Mji Mdogo wa Tunduma, leo Jumatano. “Hawa watatu wa nyuma ndio waliokuwa madiwani wa Chadema na ambao wamejiuzulu nafasi zao. Lakini leo wameitwa kwenye kikao cha bajeti cha Mji, huku wakiwa wamehama chama na kujiuzulu nafasi zao za udiwani,” ameeleza Mwakajoka katika moja ya ujumbe wake kwa wabunge wenzake. Muda mfupi baadaye, mbunge huyo anaandika, “…na sasa nawekwa chini ya ulinzi na pia nakaa nda...

Polisi watupiana mpira upekuzi ofisi za Chadema

Image
Baadhi ya Viongozi wa Chadema wakitoka katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam jana kuitikia wito wa jeshi hilo. Walioitikia wito huo ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (kushoto), Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (wa pili kushoto), Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (aliyevaa kofia) na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (kulia). Picha na Omar Fungo Kwa ufupi Wakati Chadema wakidai kuwa askari wa jeshi hilo walikwenda ofisini hapo juzi saa moja usiku kwa lengo la kufanya upekuzi, si Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz; Msemaji wa Jeshi la Polisi, Barnabas Mwakalukwa; wala Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa aliyekuwa tayari kulizungumzia.

Trump anafikiria kuongeza umri wa kununua silaha Marekani

Image
Bunduki aina ya AR-15 Rais wa Marekani Donald Trump ameidhinisha wazo la kuwaruhusu waalimu kubeba silaha ndani ya darasa. Rais Trump alisema hayo wakati alipokuwa katika mjadala maalumu huko White House uliokuwa na hamasa nyingi uliowashirikisha wanafunzi na wazazi walioathirika katika mashambulizi ya bunduki nchini Marekani. Rais alisema huwenda pia wakaweka wanajeshi wa zamani katika shule zote jambo ambalo huwenda likatatua matatizo ya mashambulizi ya bunduki shuleni. Wakati mjadala wa bunduki ukiendelea nchini Marekani, Rais Trump pia anafikiria kuwepo na kidhibiti cha umri kwa wanunuaji wa silaha kutoka miaka 18 hadi 21 ikiwemo silaha aina ya AR-15 iliyotumika kwenye shambulizi katika shule ya Florida jambo ambalo chama cha wamiliki wa silaha Marekani-NRA wanalipinga vikali.  

Kujiuzulu Zuma: Watawala Afrika wasiwe ‘miungu watu’

Image
Jacob Zuma, Rais mstaafu wa Afrika Kusini ameondoka madarakani baada ya kuwapo shinikizo kutoka ndani ya chama chake cha African National Union (ANC). Zuma amejizulu wadhifa huo Februari 14, mwaka huu, huku akikana kuhusika katika tuhuma mbalimbali za ufisadi zilizoibua shinikizo la kuondolewa Ikulu, likitokea kwenye chama chake cha ANC. Zuma aliingia madarakani kwa mara ya kwanza Mei 9, 2009, kisha akashinda tena kiti hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2014. Tayari aliyekuwa Makamu wa Rais wakati wa utawala wake, Cyril Ramaphosa ameshaapishwa kuchukua nafasi hiyo. Alikula kiapo kwenye kikao cha Bunge Februari 15, mwaka huu ikiwa ni siku moja baada ya kujiuzulu kwa Zuma. Kujiuzulu kwa Zuma kunaingizwa katika historia ya matukio ya kisiasa yanayowagusa marais wa nchi za Afrika, ikiwamo kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn. Hailemariam alijiuzulu akisema tukio hilo ni muhimu ili kuleta mageuzi yatakayochochea amani na demokrasia endelevu nchini humo. Hailem...

MAJALIWA AONYA MIGOGORO YA WAKURUGENZI, MAMEYA

Image
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amezionya halmashauri za jiji, wilaya na miji zenye migogoro, kuanza kuitatua haraka kabla hajafika ili zibaki na jukumu la kuwatumikia wananchi. Pia, Waziri Mkuu Majaliwa amepiga marufuku watumishi wa Serikali wenye kampuni binafsi kuchukua zabuni serikalini. Akizungumza na watumishi, watendaji, madiwani na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya za Ilemela na Nyamagana, mkoani Mwanza jana, Waziri Mkuu Majaliwa alisema kuna taarifa za kuwapo kwa migogoro katika halmashauri nyingi nchini kati ya mameya na wenyeviti pamoja na wakurugenzi watendaji. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, sehemu kubwa ya migogoro hiyo, inasabababishwa na maslahi binafsi. “Katika halmashauri nyingi nilizotembelea, nimekutana na migogoro inayosababisha watumishi na watendaji kuwa katika makundi, hivyo kushusha kiwango cha uwajibikaji na kuwakosesha maendeleo wananchi. “Sasa, nikiwa kama mtendaji mkuu wa Serikali, nawaeleza wale wenye migogoro, kaeni mtafute namna ya kupa...

AFAULU KUINGIA SEKONDARI BILA KUJUA KUSOMA, KUANDIKA

Image
  Mwanafunzi Jackson James wa kidato cha kwanza, Shule ya Sekondari Mtwara Ufundi, ambaye ni mlemavu wa viungo, hajui kusoma wala kuandika lakini amefaulu kuingia sekondari. Aidha, mwanafunzi huyo anahitaji msaada wa kwenda Hospitali ya Mifupa na Macho (CCBRT), kwa ajili ya mazoezi ya viungo vyake vya mwili ili aweze kuendelea na masomo yake. Akimzungumzia mwanafunzi huyo Mkuu wa shule hiyo, Paul Kaji amesema mwanafunzi huyo hajiwezi kwa kila kitu hata kuandika hawezi lakini kicha ya ulemavu wake amefaulu katika shule hiyo na amekuwa akisomewa na kusaidiwa na wenziwe. “Amekuwa akisaidiwa kusoma na kuandika tangu huko alikotoka na hadi sasa utaratibu huo unaendelea tatizo linakuja pale anaposhindwa kujigemea mwenyewe kwa kila kitu, tunawaomba wasamaria wema kumsaidia ili aweze kuendelea na masomo kwani uwezo anao,” amesema Kaji.

SHILINGI ‘MILIONI 80’ KUMZIKA AKWILINA

Image
FAMILIA ya marehemu, Akwilina Akwilini, imeipa Serikali mapendekezo ya bajeti ya Sh milioni 80, zinazotarajiwa kutumika kwenye mazishi ya mwanafunzi huyo. Marehemu Akwilini aliyeuawa Februari 16, mwaka huu baada ya kupigwa kichwani na kitu kinachodhaniwa kuwa ni rasasi iliyofyatuliwa na askari polisi waliokuwa wakiwatawanya wafuasi wa Chadema wakati wakiandamana, anatarajiwa kuzikwa siku ya Ijumaa, Februari 23. Mapema jana, Msemaji wa familia ya marehemu, Festo Kavishe aliwakabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwipalo na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisali Makori karatasi iliyoandikwa makadirio ya bajeti hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa dada wa marehemu Mbezi Luis jijini hapa, Kavishe alisema hayo ni mapendekezo ya awali ya familia na kwamba yanaweza kubadilika wakati wowote. “Hayo ndiyo makubaliano ya familia, tumewakabidhi wajadiliane kisha tutakutana nao saa 10 jioni leo (jana), watatueleza ya kwao pia. “Nisingependa kuizu...

Fred’s free-kick gives Shakhtar Donetsk narrow lead over Roma

Image
Shakhtar Donetsk came from behind to beat Roma 2-1 in the first leg of their Champions League last-16 meeting thanks to a spectacular winner from the Brazil midfielder Fred. The 24-year-old Fred showed why some of Europe’s top clubs are reportedly scouting him with a perfect free-kick in the 71st minute. Facundo Ferreyra had levelled for the Ukrainian club early in the second half after Cengiz Ünder continued his fine run of form by giving Roma the lead shortly before half-time. Roma dominated the first half but it was the Italian club’s Alisson who was the busier of the two goalkeepers. Shakhtar, who are playing their home matches in Kharkiv as the stadium in Donetsk was damaged by the conflict in Ukraine, had early chances but Roma went the closest when Edin Dzeko saw his attempt parried from close range by Andriy Pyatov, who then did well to kick away the ball. Roma started to take control and took a deserved lead four minutes from half-time. Dzeko put in a perfectly-weighte...

José Mourinho questions focus on substitute Paul Pogba after Sevilla draw

Image
• Mourinho unhappy with medical department after Ander Herrera injury • United manager praises Scott McTominay after 0-0 draw in Spain. José Mourinho refused to be drawn on the absence of Paul Pogba from his starting lineup in Seville where Manchester United held on for a dogged scoreless draw. Instead United’s manager had praise for the “fantastic” performance of Scott McTominay, who started in Pogba’s place, and called on Old Trafford to produce “a big Champions League night” in three weeks’ time. “I think we finished the game with more space than we had in the beginning, more close to the possibility of scoring a goal,” Mourinho said, batting away the suggestion United might have been relieved to emerge with a clean sheet after David de Gea again produced a series of fine saves.

José Mourinho continues bizarre and divisive power-play over Paul Pogba

Image
United manager’s omission of France midfielder from the starting XI suggests relationship is still subject to turbulence Well, we got there in the end. Grudgingly, belatedly and against the manager’s better judgment. But with 17 minutes gone in this Champions League first leg, on a breezy, boisterous night in Seville, José Mourinho found himself forced by circumstance and bad luck into playing his most talented midfielder in his favourite position. It is, of course, important not to be drawn too deeply into another Mourinho psychodrama. On a scale of one to Ramos the current half-glimpsed friction with Paul Pogba is hardly likely to rate a top-10 mention in the all-time annals of toxic José-dom. Plus, Mourinho was correct to suggest after this 0-0 draw that the return leg at Old Trafford will be an entirely different occasion; and that this was a good result, albeit on the back of another choked and sputtering performance as United were pushed back repeatedly by an increasingl...