Polisi watupiana mpira upekuzi ofisi za Chadema
Baadhi ya Viongozi wa Chadema wakitoka katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam jana kuitikia wito wa jeshi hilo. Walioitikia wito huo ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (kushoto), Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (wa pili kushoto), Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (aliyevaa kofia) na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (kulia). Picha na Omar Fungo
Comments
Post a Comment