Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu

Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu
Mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe. Wewe wajali sana wale rafiki zake piga nao story kama umewapenda wao, waonyeshe picha zako kadha wa kadha.

Washirikishe masuala yako ya kiofisi na Maendeleo yako, wape namba zako zote za simu hadi ile ya mezani. Muda wa kuondoka wapatie nauli ya kutosha kisha waelekeze unapoishi wewe na ikibidi hata wanapoishi wazazi wako.

#Myfriend! Next time ukimuita ataogopa hata kuja na mkoba atahisi utaujali mkoba zaidi yake yaani atakuja kama alivyo.

Comments

Popular posts from this blog

Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah

Idris Sultan ‘Mi Nina Kiingereza, Shilole una Nyumba Nani Anamcheka Mwenzie’

Sababu ya kuachiwa Babu Tale ni kuwa amri ya kumkamata yeye na ndugu yake Idd Shaban Taletale ilitolewa kimakosa

Zari Amkumbuka Ivan Katika Kumbukumbu Ya Kifo Chake....Leo Katimiza Mwaka Mmoja

Diamond Platnumz Apewa Gari Mpya na Uongozi wake wa Wasafi