Tanzia: Baba Mzazi wa Michael Jackson Afariki Dunia
Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia leo mchana mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu na alikuwa na anasumbuliwa na Saratani.
Joe Jackson ni moja Mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwemo marehemu Michael Jackson na Janeth Jackson.
Comments
Post a Comment