Mcheza Mpira wa Swansea City Amsifia Snura Majanga
Mshambuliaji wa klabu ya Swansea City, Wilfried Bony amefunguka kuwa
anaupenda wimbo wa Chura wa Snura huku akisifia baadhi ya waigizaji
filamu hapa Bongo.
Bony ambaye yupo nchini Tanzania akizungumza na Waandishi wa Habari leo hii jijini Dar es salaam, amesema kuwa wimbo wa Chura ni wimbo mzuri kusikiliza na video yake inavutia kuitazama hususani kwa wanaume kwani ina wanawake wanaocheza vizuri wimbo huo.

Comments
Post a Comment