Maskini..Kaka wa Eric Omondi afariki dunia Kwa Madawa ya Kulevya..Asimulia Walivyohangaika Nae
Taarifa zilizotufikia leo June 19,2018 ni kuhusu kifo cha kaka mkubwa wa mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi ambaye amefariki asubuhi ya kuamkia leo na kifo chake kimesababishwa na matumizi ya dawa za kulevya.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Eric Omondi ameelezea kuhusiana na kifo cha kaka yake Joseph Onyango Omondi ikiwa ni saa 12 baada ya kupatikana mtaa wa Downton River Nairobi na kukubali kumsaidia kurudi katika hali yake ya kawaida na kuachana na dawa za kulevya.
“Hii sio picha ya mwisho ya kaka yangu niliotaka kuipost, lakini ni picha ambayo nataka kila kijana kwenye hii nchi kuiona. Joseph Onyango Omondi amefariki leo asubuhi saa tisa, ikiwa ni saa 12 baada ya kumkuta Downton River Road “
“Alikuwa akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine na vitu vingine na alikuwa akienda Rehab na kutoka kwa Milka 19, Mungu mwenyewe ndio atatoa malipo. Namshukuru kila mmoja ambaye alikuja jana kutusaidia”

Comments
Post a Comment