Hamisa Mobetto Atoa Mpya 'Kuna Muda Natamani Kuondoka Tanzania ila....."
Muigizaji wa Bongo movie na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto amedai kuwa kuna muda anatamani kuondoka Tanzania.
Hamisa ambaye ameendelea kushika headlines kwani tangu alivyotangaza kuwa ana ujauzito wa Diamond mwaka jana basi hajatoka midomoni kwa watu tena.
Hamisa siku ya jana alizuahgumzo baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa anatamani kuondoka Tanzania lakini kila akifika airport anajuuliza Watanzania wataishije bila yeye.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa aliandika:
Sometimes, Natamani Kuondoka Tanzania nafika hadi airport ila najiuliza Watanzania Wenzangu Wataishije Bila Mimi“.
Hamisa amekuwa akiongelewa sana Kwenye mitandao ya kijamii siku hizi tangu arudiane na Diamond na kiukweli imekuwa burudani kwa mashabiki zao hasa ukimuweka Diamond huku Zari pale na Hamisa huku.

Comments
Post a Comment