EXCLUSIVE: Kwangwaru Imewagombanisha DIAMOND & HARMONIZE
Producer kutoka Usafini WCB Wasafi ameongea kuhusu safari yake ya U producer tokea kufukuzwa nyumbani na wazazi wake, Maisha yake kabla ya kwenda WCB na ugumu aliokutana nao mara ya kwanza alipofika usafini WCB.
Comments
Post a Comment