VIDEO: Nitaolewa Mungu Akinipa Mume Nina Hisia na Mimi, Diamond Atasubiri - Queen Darleen
Msanii kutoka lebo ya WCB ambae pia ni Dada wa Diamond Platnumz, Queen
Darleen ambae ametamba na ngoma ya Touch ambayo imetengezwa na studio ya
Wasafi, amesema kuwa yeye pia ana hisia na upendo na anapenda hivyo
kuhusiana na yeye kuwa na ndoa Ataolewa hadi mungu atakapompatia, na
Diamond atasubiri sana hadi yeye aolewe.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
Comments
Post a Comment