Asyieshukuru kwa kidogo hata akipewa kiikubwa hatashukuru, kauli hiyo imetolewa Bungeni na Mbunge wa jimbo la Mtwara mjini Maftaha Nachuma baada Waziri Mkuu na Waziri wa nishati na Madini kutembelea jimboni kwake huku akiwakumbusha sakata la maandamano ya wananchi ambao ilipekekea baadhi yao kupigwa risasi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Comments
Post a Comment