Sugu kwa mara ya kwanza Bungeni amezungumza sababu ya kufungwa kwake
Leo May 21, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesimama na kuuliza swali Bungeni kwa mara ya kwanza tangu atoke gerezani Ruanda, Mbeya May 10 alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.
Mbunge Sugu amelielekeza swali lake katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika mkutano wa 11 kipindi cha maswali na majibu.
Mbunge Sugu amelielekeza swali lake katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika mkutano wa 11 kipindi cha maswali na majibu.
Comments
Post a Comment