MWIJAKU “Mc Pilipili ameshindwa kumhudumia mtoto, kimaisha hawezi kunipata”
Baada ya Mc Pilipili kuonesha kuumizwa na kitendo cha aliyekuwa mpenzi wake Nicole Franklyn kuolewa na Mwijaku na kuamua kupost Instagram, hatimaye Ayo TV imempta Mwijaku ambaye kazungumza na yeye kwa upande wake kuhusu hilo na kusema Mc Pilipili ameachwa na Nikole kwa sababu halikuwa hamhudumii.
Mwijaku amesema Mc pilipili asijilinganishe na yeye kwani amemzidi kimaisha na isitoshe yeye ndiye aliyeweza kumpa dili la na kumlipa kwenye sherehe yake, lakini ameongezea kwa kusema mke wake Nikole alipoona ujumbe huo wa Mc Pilipili alilia sana na kumlaumu mumewe Mwijaku kwanini alimleta Mc Pilipili kwenye sherehe yao.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza MWIJAKU akizungumza.
Comments
Post a Comment