Idris Sultan aomba michango kwa ajili ya Ben Pol

Mchekeshaji Idris Sultan ameamua kumtania Ben Pol kuhusu shati lake alilovaa siku ya May 14, 2018 katika uzinduzi wa ngoma yake mpya Clouds FM na kuomba watu wamchangie fedha za kununua nguo mpya kutokana na shati hilo kuchanika.

Idris ameandika utani huo kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa tusimkumbuke mtu kwenye mazuri tu anapokufa bali katika uhai wake akipata shida tumsaidie.

“Wasanii huwa tunasubiri mpaka kuwe na msiba ndio tuungane kumsaidia mwenzetu kwani dalili kama hizi za kukosa nguo hatuzioni ? Kwanini tusimsaidie Ben angali hai ?”

Comments

Popular posts from this blog

Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah

Idris Sultan ‘Mi Nina Kiingereza, Shilole una Nyumba Nani Anamcheka Mwenzie’

Sababu ya kuachiwa Babu Tale ni kuwa amri ya kumkamata yeye na ndugu yake Idd Shaban Taletale ilitolewa kimakosa

Zari Amkumbuka Ivan Katika Kumbukumbu Ya Kifo Chake....Leo Katimiza Mwaka Mmoja

Diamond Platnumz Apewa Gari Mpya na Uongozi wake wa Wasafi