Dr. Shika Aanza Kuonesha Makucha Baada ya Kupokea zaidi ya TSH 130 Bilion, Hii Ndio Nyumba Mpya Aliyohamia
Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.
Comments
Post a Comment