Amber Lulu Ametaja List ya Mastaa wote Bongo Aliowahi Kutoka nao
Muimbaji wa Bongofleva Amber Lulu leo kupitia mahojiano yake na kipindi
cha Break cha Clouds TV amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kukubali
kuweka wazi orodha ya mastaa wa Bongo ambaye amewahi kutoka nao
kimapenzi.
Amber Lulu akihojiwa na Simple The Boy aliulizwa vipi anatoka kimapenzi na Nuh Mziwanda na alikanusha lakini alipoulizwa ni mastaa gani wa bongo ambao amewahi kuingia nao katika mahusiano ya kimapenzi alikuwa radhi kusema.

Comments
Post a Comment