Amber Lulu Afunguka Kuhusu Video yake na Nuh Mziwanda Iliyovuja Wakifanya yao
Msanii wa bongo fleva na muuza nyago katika video za wasanii Amber Lulu amefungukia video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha yeye na msanii mwenzake Nuh mziwanda wakiwa katika pozi za kimahaba.
Amber Lulu amesema video hiyo imetokana na nyimbo yao mpya watakao uachia hivi karibuni na wala hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Nuh Mziwanda huku akidai kuwa video hiyo imemsababishia ugomvi na mpenzi wake ambaye ni msanii wa Kenya, Prezzoo.
VIDEO:
Comments
Post a Comment