Alikiba leo ametaja jina lake halisi

Jina la msanii Ali Kiba limeanza kusikika katika masikio ya walimwengu miaka kadhaa iliyopita alipoingia katika game ya muziki wa Bongo Fleva na wengi walimtambua kwa jina hilo la Alikiba.

Lakini unaambiwa jina la Kiba sio jina la ukoo kama watu wanavyodhani jina hilo limetokana na historia fupi katika familia yake, hii ni baada ya mama yake kuwa na ujauzito wake na rafiki zake kumuita mama ‘Kibanio’ kutokana na kutumia kibanio kubania nguo zake.

Jina la“Kiba” lilikuwa baada ya Ali kuzaliwa na kukuta mama yake akiitwa mama ‘Kiba’ na ndipo watu walipoanza kufahamu jina la Ali Kiba lakini jina halisi la AliKiba ni Ali Saleh Gentamilan.

Comments

Popular posts from this blog

Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah

Idris Sultan ‘Mi Nina Kiingereza, Shilole una Nyumba Nani Anamcheka Mwenzie’

Sababu ya kuachiwa Babu Tale ni kuwa amri ya kumkamata yeye na ndugu yake Idd Shaban Taletale ilitolewa kimakosa

Zari Amkumbuka Ivan Katika Kumbukumbu Ya Kifo Chake....Leo Katimiza Mwaka Mmoja

Diamond Platnumz Apewa Gari Mpya na Uongozi wake wa Wasafi